
KAMPUNI
YA USHAURI WA KITAALAMU KATIKA UTAFITI NA BIASHARA NYANDA ZA JUU KUSINI
SOUTHERN
HIGHLANDS RESEARCH, CONSULTANCY AND PUBLICATION COMPANY LIMITED
(SHIRECOP
CO.LTD)
KARIBU UPATE USHAURI WAKO WA JINSI YA KUFANYA UTAFITI (RESEARCH)
NA KUENDELEZA BIASHARA YAKO KWA UTULIVU NA KWA WAKATI
MUAFAKA

CONTACTS
OFFICE-0252502792 au MOBILE-0713
629 303 AU 0768 538 263 AU 0766 461 068
WEBSITE: shirecop.blogsport.com
1. UTANGULIZI
Kampuni ya ushauri wa
kitaalamu katika utafiti na biashara (Southern Highlands Research,
Consultancy and Publication Company Limited
(SHIRECOP.CO.LTD)) ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA chini ya sheria za
makampuni Tanzania na kupata namba ya usajili No. 83194. Makao makuu ya kampuni
hii yapo Mbeya mjini eneo la Block. T, SIDO chumba namba 27 katika barabara
itokayo Soweto kuelekea sekondari ya Southern Highlands.
2. MALENGO
SHIRECOP inafanya
kazi ya kutoa huduma kuu tatu:
i)
Utafiti (Research),
ii)
Ushauri wa kitaalamu wa biashara (business
consultancy)
iii)
Uchapaji (Publication)
2.1 Huduma za utafiti
kampuni
ya SHIRECOP inajihusisha na utafiti katika nyanya mbalimbaki kama
i)
tafiti za kitaaluma (academic research
projects) kama za wanafunzi wa vyuo vikuu, taasisi za elimu, kiserikali n.k
ii)
tafiti za kibiashara (buisnes
research) kama tafiti za masoko, bidhaa mpya, mbinu za ushindani n.k
iii)
tafiti za maendeleo kama za NGOs,
CBOs, kijamii, kiuchumi n.k
2.1.2 Huduma kamili katika
utafiti ni kama ifuatavyo;
i)
kuandaa pendekezo la utafiti (research
proposal)
ii)
kuhariri kazi za utafiti (editing)
iii)
kuchapa kazi za utafiti
iv)
kuchambua data (data analysis)
(kutumia Mannual, SPSS n.k
v)
kuandika ripoti (research report
writing)
vi)
kuandaa mapitio ya vitabu (literature
review) n.k
vii)
kusaidia kukusanya data (data
collection assistance)
viii)
kuandaa kazi za kitaaluma (academic
papers)
3. Ushauri wa kitaalamu wa biashara
(business consultancy)
Huduma
hii inalenga kutoa ushauri wa kitaalamu wa namna wafanyabiashara wanavyoweza
kuendeleza au kuanzisha biashara zao. Maeneo halisi ni kama;
i)
kuanzisha biashara (how to start a
business)
ii)
kuendesha biashara (how to expand
business)
iii)
kusimamia biashara (how to manage
business)
iv)
kutafuta masoko (how to expand
markets)
v)
kufufua biashara zinazolegalega au
zilizokufa (how to revive poor performing or dead businesses)
vi)
kuandaa pendekezo la biashara
(business proposal)
vii)
kuandaa ripoti ya biashara (business
report)
viii)
kuandaa ripoti ya fedha (financial
statements)
ix)
kusimamia na kufanya tenda
(application and execution of tenders/bids)
x)
kusaidia kutafuta wafanyakazi
(employment seekers)
walengwa wa huduma
hizi ni wafanyabiashara wa kati na wadogo, makampuni, NGOs, SACCOS, taasisi za
uma na binafsi, wajasiriamali n.k
4. Huduma
ya kusajili kampuni na vikundi
kampuni hii pia
inatoa huduma ya kusadia vikundi, kampuni, taasisi au watu binafsi kujisajiri. Walengwa
ni wale wanaotaka kusajiri kampuni, NGOs, CBOs n.k. huduma kamili ni kama
zifuatazo;
i)
kuandaa katiba za vikundi, NGOs,
kampuni na kadhalika (writing Memorandum and articles of association)
ii)
kusaida kusajili kampuni na NGOs
iii)
kuandaa pendekezo la miradi (project
proposal writing)
iv)
kusimamia miradi (project execution
assistance)
v)
kuandaa matamsha na matukio
5. Huduma
za utoaji taarifa na takwimu (Information Resource Centre)
hii
ni huduma inayohusiana na utafutaji na utunzaji wa taarifa mbalimbali za
kiuchumi, kijamii, kielimu, kitalii, kitamaduni, kisiasa n.k. walengwa ni watu,
vikundi, watalii, wafanyabiashara, wanataaluma, wanasiasa na wajasiriamali
wanaotaka kupata taarifa yoyote inayoweza kuwasaidia au kufanikisha malengo
yao. Huduma mahususi ni kama;
i)
kutafuta taarifa za utalii (tourist
information)
ii)
taarifa za kibiashara (business
information)
iii)
taarifa za ajira (employment
opportunities)
iv)
taarifa za viwanda (industrial
information)
v)
taarifa za upatikanaji wa huduma za
kijamii kama afya, elimu, maji n.k (social development information)
vi)
taarifa za kisiasa
vii)
taarifa kitaaluma (scholarships)
6. Huduma
za uchapaji, Internet na Steshenari
huduma
hizi inapatikana ufisini kuanzia jumatatu hadi jumamosi. Huduma zenyewe ni
kama;
i)
kuchapa kazi mbalimbali (typing and
printing)
ii)
kutoa kopi za rangi na zakawaida (photocopying- black
& white na coloured)
iii)
kuchapa vitabu, majarida, brochures
etc
iv)
kuscani (scanning)
v)
kutengeneza kadi za mialiko kama
harusi, mikutano n.k
vi)
kutumia mtandao (internet surfing)
vii)
huduma za steshenari (kama vitabu,
madaftari, peni n.k)
NB: HUDUMA MAALUM
- TUNAPOKEA ODA MAALUM ZA KUCHAPA, KUPRINT NA KUTOA KOPI KWA ODA MAALUMU (mf MITIHANI, TAARIFA ZA VIKAO, NYARAKA ZA KIOFISI, N.K KWA PUNGUZO MAALUMU
- TUNAKARIBISHA MAOMBI MAALUMU YA MATUMIZI YA COMPYUTA NA INTERNATE KWA BEI NAFUU KWA SIKU ZA WIKEND (Jumamosi na Jumapili)
- TUNAKARIBISHA WANATAALUMA, NA VIKUNDI AU TAASISI BINAFSI NA ZA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZETU KWA MAHITAJI MAALUMU (mf, mafunzo ya computer kwa siku za wikend)
- TUNATOA HUDUMA ZA KUCHAPA KAZI ZA UTAFITI (RESEARCH) AU KIOFISI (OFFICIAL) KWA USALAMA MAKINI
- TUNAPOKEA TENDA ZA KUSAMBAZA VIFAA VYA STESHENARI MAOFISINI
thanks for visiting our site, you are welcome for further comments
ReplyDelete