Tanzania kuamua kutumia Kipimo kipya cha kugundua vijidudu vya Malaria kwa
Haraka kijulikanacho kama MRDT (Malaria Rapid Diagnostic)
[image: Photo: Wikiendi hii usikose kusikiliza Makala ya Haba na Haba ya
Idhaa ya Kiswahili ya BBC. Tutaangalia baada ya Tanzania kuamua kutumia
Kipimo kipya cha kugundua vijidudu vya Malaria kwa Haraka kijulikanacho
kama MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test). Je Kipimo hiki kinapatikana
katika hospitali zetu? Na pale kisipopatikana nini kinafanyika? na je kwa
wananchi wasiopenda kupima hospitalini badala yake wanajinunulia dawa
Pharmacy, Je ni sahihi
No comments:
Post a Comment