Friday, 6 December 2013

CHUO KIKUU CHA IRINGA CHAILETEA HESHIMA TANZANIA

Damas Anthony at APOSTLEDARMACY.COM - 1 week ago
KATIKA SHINDANO LA TUZO YA HESHIMA YA SHERIA ZA VITA Tanzania yazibagwa nchi sita barani Afrika katika mashindano ya vyuo vikuu ya kuwania tuzo ya heshima ya sheria za vita yaliyomalizika hivi karibuni . makamu Mkuu wa chuo kikuu cha Tumaini Iringa, Prof Nicholaus Bangu kushoto akipokea tuzo ya heshima ya sheria za vita kutoka kwa mkuu msaidizi wa kitivo cha sheria Jane Massey huku wanafunzi walioshinda wakishuhudia zoezi hilo leo Washindi wa tuzo hiyo chuo kikuu cha Iringa wakiwa na tuzo yao kushoto ni mkuu wa chuo Prof Nicholaus Bangu.

No comments:

Post a Comment