TUNATAMBUA UTALII WETU WA NDANI: TAZAMA SAFU ZA MILIMA YA LIVINGSTONE PAMOJA NA MIAMBA YA AINA YAKE PEMBEZONI MWA ZIWA NYASA!
Miamba
pembezoni mwa ziwa nyasa Safu ya milima ya livingstone iliyoko mwambao wa ziwa
nyasa Miamba iliyoko kata ya Lumbila ambako kihistoria ni wilaya ya kwanza kwa
wakoloni iko wilaya ya Ludewa miamba ambayo ni vivutio kwa watalii wilayani
ludewa mwambao wa ziwa nyasa.
Have a look at beautiful natural beauties of Livingstone mountains around lake Nyasa. its memorable to visit there, try ti one day.
No comments:
Post a Comment